Iran, Lebanon, Iraq, Yemen zaanza luteka ya kuwanga mkono Wapalestina Gaza

Vikosi vya Baharini vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) pamoja na vikosi kutoka Lebanon, Iraq na Yemen, vinafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya majini katika ‘maonyesho ya nguvu’ dhidi ya Israel na kutangaza mshikamano na Wapalestina huko Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *