Iran: Kufurushwa Wapalestina Gaza ni muendelezo wa mauaji ya kimbari

Iran imesema kuwa, mpango wa kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza na kuwapeleka katika nchi jirani ni kuendeleza mauaji ya kimbari kwa kutumia zana za kisiasa.