Iran: Israel iliundwa kwa damu; mauaji ya kimbari lazima yakomeshwe sasa

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa Siku ya Nakba na kusema kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel “uliasisiwa katika msingi wa umwagaji damu” na kwamba jamii ya kimataifa ina wajibu wa kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *