Iran imevuka ‘mistari myekundu’ Magharibi katika teknolojia ya nyuklia

Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki la Iran (AEOI), Mohammad Eslami, amesisitiza uwezo wa ndani wa Iran  katika sayansi ya nyuklia, akieleza kuwa mataifa ya Magharibi yameshindwa kuinyima Jamhuri ya Kiislamu teknolojia hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *