“Iran imeazimia kweli kufikia makubaliano katika mazungumzo ya nyuklia”

Rais wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko “jadi” katika mazungumzo yake yasiyo ya moja kwa moja na Marekani ili kufikia makubaliano yenye msingi wa amani, na kusisitiza azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuendelea kutekeleza shughuli zake za amani za nyuklia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *