Iran: Hakutakuwa na makubaliano yoyote iwapo hatutorutubisha wenyewe urani

Iran: Hakutakuwa na makubaliano yoyote iwapo hatutorutubisha wenyewe urani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, suala la kurutubisha urani ni mstari mwekundu wa Jamhuri ya Kiislamu katika mazungumzo yajayo ya nyuklia na Marekani na kama Washington itang’ang’ani msimamo wake wa kukataa kurutubishwa urani ndani ya Iran, basi hakuna makubaliano yoyote yatakayofikiwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *