Iran: Hakuna mazungumzo yatakayofanyika chini ya mashinikizo, lazima Marekani ibadilishe siasa zake 

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa haitashiriki katika mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani chini ya mashinikizo ya ‘vikwazo vya juu zaidi’ na vitisho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *