Iran: Haitatokea katu kufanywa mazungumzo ya kuuvunja mpango wetu wa nyuklia

Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imetangaza kwamba ikiwa lengo la kutaka kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ni “kuuvunja mpango wa amani wa nyuklia wa Iran,” mazungumzo kama hayo hayatafanyika katu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *