India-Pakistan: Fahamu nguvu za kijeshi za ya mataifa haya yaliyo na mzozo

Mvutano huu ni sehemu ya mvutano wa muda mrefu ambao umegharimu maisha ya maelfu ya watu. Mizizi wa mvutano huu ulianza zaidi ya miongo saba nyuma. Pale India na Pakistan zote zilipoanza madai ya udhibiti wa eneo lote la Kashmir.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *