Indhari ya MSF kuhusu mapigano ya silaha na uporaji mashariki mwa DRC

Shirika la Madaktari Wasiokuwa na Mipaka (MSF) limetoa tahadhari kuhusu mapigano ya silaha na uporaji katika eneo lililoathiriwa na vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.