Inakadiriwa kuwa watoto elfu tatu huzaliwa kila mwaka wakiwa na changamoto ya miguu vifundo, huku vyanzo vya tatizo hilo vikitofautiana, ikiwa ni pamoja na urithi.
Wataalamu wa magonjwa mbalimbali wamesema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya Siku ya Vifaa Saidizi, ambayo hufanyika kila mwezi Juni, kwa lengo la kuwakutanisha wataalamu na kujadili faida na changamoto za upatikanaji wa vifaa hivyo.
#AzamTVUpdates
✍Upendo Michael
Mhariri | John Mbalamwezi