Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Ushindi wa Gaza ni muujiza wa kambi ya Muqawama

Imamu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameutaja ushindi wa Wapalestina katika Ukanda wa Gaza dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kuwa ni muujiza wa Muqawama.