Imam Khamenei: Harakati ya Kitaifa ya Upandaji Miti iendelee

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Ali Khamenei, leo asubuhi (Jumatano), katika Wiki ya Rasilimali Asili na Siku ya Upandaji Miti, amepanda miche mitatu ya miti.