Ijumaa ya umwagaji damu Ghaza, mashahidi 250 katika masaa 36

Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya ya Ghaza ametangaza leo Ijumaa kwamba ukanda huo ndilo eneo la mauaji ya umati ya kutisha zaidi katika siku za hivi karibuni kiasi kwamba Wapalestina 250 wameuliwa shahidi na Israel katika kipindi cha saa 36 zilizopita pekee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *