Ijue meli ‘shujaa’ inayoshughulika na matatizo ya mtandao Afrika

Seva nyingi hizi zipo kwenye vituo vya data nje ya Afrika na nyaya hizo hutandazwa chini ya bahari kuunganisha mtandao na miji ya pwani barani Afrika.