IGAD yatakiwa kuishawishi Sudan Kusini kuwachilia huru wapinzani

Chama kikuu cha upinzani huko Sudan Kusini, cha Sudan People’s Liberation Movement/Army-In Opposition (SPLM/A-IO) kinachoongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais, Riek Machar, kimezihimiza Jumuiya ya IGAD na Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC kuingilia kati na kusaidia kuachiliwa huru maafisa kadhaa wa upinzani wanaoshikiliwa na serikai ya Sudan Kusini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *