Idadi ya waliokufa kwenye tetemeko la ardhi Myanmar yafikia 1,000

Tetemeko hilo la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 lilipiga pia katika nchi jirani za China na Thailand na kusababisha mascara mkubwa kwa watt na mali. Myanmar imetangaza hali ya hatari katika sehemu kubwa ya nchi hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *