Idadi ya vifo katika ajali mbaya iliyohusisha basi la Kampuni ya Hai na lori la mizigo lililokuwa limebeba shehena ya sukari ene…

Idadi ya vifo katika ajali mbaya iliyohusisha basi la Kampuni ya Hai na lori la mizigo lililokuwa limebeba shehena ya sukari ene…

Idadi ya vifo katika ajali mbaya iliyohusisha basi la Kampuni ya Hai na lori la mizigo lililokuwa limebeba shehena ya sukari eneo la Lugono Melela, barabara kuu ya Morogoro-Iringa, imefikia watu 10.

Ajali hiyo imetokea zikiwa zimepita takribani wiki moja tu tangu ajali nyingine kutokea mkoani Mbeya na kuua watu 28, hali inayoibua hofu juu ya ongezeko la ajali mbaya barabarani nchini.

Mamlaka zinaendelea na uchunguzi wa ajali hiyo huku wito ukitolewa kwa madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani.

#azamnewsupdates
✍Theresia Mwanga
Mhariri|@official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *