ICJ yaafikiana na Israel kuakhirisha kesi ya mauaji ya halaiki Gaza kwa miezi 6

Katika hatua inayotia wasiwasi, Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeafiki ombi la kuakhirisha kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel, kuhusu kampeni ya kikatili na ya kijeshi ya utawala huo wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *