Huyu ndiye Mohammad Deif, mhandisi wa Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa

Shahidi Muhammad Deif, ambaye jina lake halisi ni Muhammad Diab Ibrahim al-Masri, anayejulikana kwa lakabu ya Abu Khaled, alizaliwa mwaka 1965 katika kambi ya wakimbizi wa Palestina ya Khan Younis, kusini mwa Ukanda wa Ghaza.