Hungary: Baadhi ya nchi za Ulaya zinakwamisha kumalizika vita huko Ukraine

Waziri wa Mambo ya Nje wa Hungary amesema kuwa “Waliberali wa Ulaya wanaounga mkono vita” wanakwamisha kufanyika mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Russia ili kuhitimisha vita huko Ukraine.