Homa ya Mapafu: Ufahamu kwa kina ugonjwa huu unaomsumbua Papa Francis

Mwaka 2021, kulikuwa na takribani visa milioni 344 vya watu wenye ugonjwa huu duniani, ambapo milioni 2.1 kati ya visa hivyo, vilisababisha vifo.