Huenda China isiingie akilini unapofikiria kuhusu Aktiki – lakini imedhamiria kuwa mdhibiti mkubwa wa Ncha ya dunia. Imekuwa ikigombea kununua mali isiyohamishika, kushiriki katika miradi ya miundombinu na inatarajia kuanzisha uwepo wa kudumu wa kikanda, huku ikiyakuta mataifa ya Magharibi yenye ngome zao za muda mrefu huko.
BBC News Swahili