
Dar es Salaam. Huu ni wakati wa kuchanga karata zako vizuri na kupiga maokoto, mtu wangu! Katika ulimwengu huu, kila hatua unayoichukua ni muhimu sana hivyo umakini unahitajika katika kila hatua. Katika utabiri huu, japo una nafasi ya kuchekecha na kutusua unahitaji utulivu ili kufanikisha ushindi.
Mchezo ni mchezo na kila wakati unahitaji kufanya uamuzi wa kiakili ili kuongeza uwezekano wa kupata faida. Katika mechi kama ya Brighton dhidi ya Chelsea na Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid, ushindani utakuwa mkubwa sana, hivyo nyavu zitatikiswa kwa uhakika. Timu hizo zote ni vigogo katika ligi zao na unaweza kuona mabao yakifungwa kwa wingi.
Hii ni nafasi nzuri kwa ubashiri wa “Yes (GG)”, ambapo Odds ni 3.14 na hii ni odds nzuri ambayo inaweza kuwa na manufaa makubwa. Katika mechi hizo wachezaji wa timu zote wanajua umuhimu wa kupata ushindi, hivyo mategemeo ni kuona mabao mengi na kwa hivyo, hiyo ni nafasi nzuri kwa wawekezaji.
Pia, mechi ya Lille dhidi ya PSV Eindhoven inaonekana kuwa na mvuto mkubwa. Kwa hiyo, nafasi yao ya kushinda nyumbani ni kubwa na huenda tukashuhudia zaidi ya mabao mawili (Over 1.5). Twende sawa mtu wangu….
MULTI BET ZA JUMAMOSI (10)
Brighton – Chelsea
Chaguo: YES (GG) 1.47
Empoli – AC Milan
Chaguo: 2 and OVER [1.5] 2.04
Torino – Genoa
Chaguo: OVER 1.5 1.47
Athletic Bilbao – Girona
Chaguo: Home 1.69
Real Madrid – Atletico Madrid
Chaguo: YES (GG) 1.67
VfL Wolfsburg – Bayer Leverkusen
Chaguo: OVER 2.5 1.58
Lille – Le Havre
Chaguo: 1 and OVER [1.5] 1.62
Brugge – OH Leuven
Chaguo: 1 and OVER [1.5] 1.53
PSV Eindhoven – Willem II
Chaguo: 1 and OVER [1.5] 1.20
Norwich City – Derby
Chaguo: OVER 2.5 1.84
Jumla ya makisio: 107.57