Hizbullah ya Lebanon yaeleza kwa msisitizo: Hatutasalimu amri mbele ya njama za Israel na Marekani

Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sheikh Nai Qassem amezungumzia shambulio la hivi karibuni la utawala wa Kizayuni kwenye viunga vya kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut, na akasema: “shambulio hili limefanywa kwa idhini na uungaji mkono wa Marekani.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *