Hizbullah ya Lebanon: Tutaendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hadi Israel itakapoangamizwa

Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesisitiza katika taarifa yake kuwa itaendelea kuwasaidia na kushikama na wananchi wa Palestina hadi utawala wa Kizayuni wa Israel utakapoangamizwa.