Hizbullah: Iran ndiye muungaji mkono mkuu wa kadhia ya Palestina

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza nafasi muhimu ya Iran katika kuunga mkono kadhia ya Palestina ya kukombolewa kutoka kwa uchokozi na uvamizi wa Israel huku akiulaani vikali utawala wa Israel kwa ukatili wake katika eneo zima ambao unawezeshwa kwa kiasi kikubwa na uungaji mkono wa Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *