‘Hatuwezi kurudi nchini kwetu’: Wahamiaji wa Asia na Kiafrika baada ya kufukuzwa kutoka Marekani

Zaidi ya mwezi mmoja baada ya kufungiwa katika Hoteli ya Decapolis huko Panama City, makumi ya wahamiaji wa Asia na Kiafrika waliofukuzwa kutoka Marekani wanabaki Panama, kwa kukosa mahala pa kwenda.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *