Hatua saba za Trump zinazompa ushindi Putin katika mazungumzo ya amani ya Ukraine -Politico

Chapisho hilo la Amerika limeandika kuwa Rais wa Marekani anashinikiza zaidi Ukraine huku akiwa mwenye subira na Urusi kwasababu anaamini, kama vile alivyoambia Volodymyr Zelensky katika ikulu ya Whitehouse , kuwa Ukraine haina ”ushawishi”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *