Hatima ya ajabu ya maiti ya mtu aliyechoma moto Qur’ani nchini Sweden!

Baadhi ya vyombo vya habari viliripoti kuwa mwili wa Salwan Momika, aliyechoma moto nakala kadhaa za kitabu kitakatifu cha Mwenyezi Mungu, Qur’ani, ulichomwa baada ya ndugu zake kukataa kupokea mwili wake.