Hamas yawataja mateka wengine wa Israel wanaotarajiwa kuachiliwa

Hamas imewataja mateka wanne watakaoachiliwa siku ya Jumamosi chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza.