Hamas yawaachia huru mateka 3 wa Israel, mkabala wa Wapalestina 183

Utawala wa Kizayuni wa Israel baadaye leo unatazamiwa kuwaachia huru mateka 183 wa Kipalestina, mkabala wa kuachiliwa Wazayuni watatu, katika duru ya nne ya mabadilishano ya mateka katika Ukanda wa Gaza.