Hamas yasema hatua ya Israel kuzuia misaada kuingia Gaza ni ‘Uhalifu wa Kivita’

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema kuwa uamuzi wa utawala haramu wa Israel wa kuzuia kuingia kwa misaada ya kibinadamu na mahitaji ya msingi katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa ni “uhalifu wa kivita.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *