Hamas yapongeza wafanyakazi Microsoft kwa kufichua ushiriki wa kampuni hiyo katika mauaji ya kimbari Gaza

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imeelezea kufurahishwa na misimamo ya baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Microsoft wakati wa sherehe ya miaka 50 ya kampuni hiyo ya teknolojia wakipinga ushiriki wa Microsoft katika vita vya mauaji ya halaiki vya jeshi la Israeli katika Ukanda wa Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *