Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelitaka Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO livunje uhusiano wa uratibu wa kiusalama uliopo baina yake na utawala wa Kizayuni na kuchukua msimamo wa pamoja wa Palestina dhidi ya mauaji ya kinyama yanayoendelea huko Ghaza.
Related Posts
Uanachama wa Nchi za Afrika katika ECO: Fursa ya kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi
Kuongeza ushirikiano na kupanua mahusiano katika nyanja mbalimbali za uchumi ni miongoni mwa malengo makuu ya nchi wanachama wa Jumuiya…

Hatuwezi kushindwa – Putin
Hatuwezi kushindwa – Putin kwa wajitolea wa Chechen Rais wa Urusi alitembelea Chuo Kikuu cha Vikosi Maalum huko Gudermes Rais…

Marekani yaendelea kuteketea kwa moto, sasa ni Carolina
Maelfu ya Wamarekani wametakiwa kuhama kwenye maeneo manane katika majimbo ya Carolina Kaskazini na Carolina Kusini kutokana na kutokea zaidi…