Harakati ya muqawama ya Hamas imelaani uamuzi wa Israel wa kupanua mashambulizi yake ya kijeshi katika Ukingo wa Magharibi wa kaskazini, ikisema kuwa uchokozi huu unaonesha nia hatari ya utawala wa kikoloni wa Israel kuendelea na vita vyake vya mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina.
Related Posts
Sudan yaishukuru UNSC kwa kupinga kuundwa serikali nyingine nchini humo
Serikali ya Jenerali Abdul Fattal al Burhan wa Sudan imetangaza kufurahishwa na taarifa ya Baraza la Usalama la Umoja wa…
Ndege za kivita za Israel zalenga maeneo kadha ya kusini mwa Lebanon – IDF
Ndege za kivita za Israel zalenga maeneo kadha ya kusini mwa Lebanon – IDF Msemaji wa jeshi la Israel…
Jeshi la Somalia laua magaidi 82 wa al-Shabaab
Jeshi la Anga la Somalia kwa ushirikiano na Shirika la Taifa la Usalama (NISA) limeangamiza magaidi 82 wa kundi la…