HAMAS yalaani mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni Jenin, Ukingo wa Magharibi

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.