Hamas yaitisha maandamano ya ‘mshikamano wa kimataifa’ kulaani jinai za Israel Gaza

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa wito wa dharura kwa watu wa dunia kushiriki kikamilifu katika maandamano ya wiki moja ya kushinikiza kusitishwa kwa kampeni ya kutisha ya Israel ya mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *