HAMAS yaisihi dunia: Msiiache Ghaza ‘inayovuja damu’ iyakabili ‘mauaji ya halaiki’ peke yake

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa ombi la kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha “uangamizaji kizazi wa kimpangilio unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuwatesa kwa njaa makusudi Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza”, jinai ambazo imesema, “zinafanywa kwa usaidizi wa kuaibisha wa kimaitaifa usioweza kuhalalishwa”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *