Hamas yafananisha vitendo vya Israel Gaza na mauaji ya kimbari ya Rwanda

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imefananisha vitendo vya utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na mauaji ya kimbari ya Rwanda, huku ikisifu hatua ya Umoja wa Afrika ya kumfukuza balozi wa utawala wa Israel kutoka mkutano maalumu wa kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *