Hamas: Tunaishukuru Iran kwa operesheni zake mbili za “Ahadi ya Kweli” dhidi ya Israel

Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Hamas amesema katika hotuba yake baada ya kufikiwa makubaliano ya usitishaji vita huko Ghaza kuwa, HAMAS inaishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuitia adabu Israel katika operesheni mbili za Ahadi ya Kweli ambazo zilisambaratisha majigambo ya utawala wa Kizayuni.