Hamas: Taifa la Palestina litajitawala lenyewe katika ardhi yake

Mmoja wa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema: “Gaza” na “Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni mali ya wenyeji wa maeneo hayo.