HAMAS: Netanyahu anaongopa akidai vita vitawarejesha mateka wote wakiwa hai

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imemshutumu Waziri Mkuu wa Israel, Benjami Netanyahu kwa “kudanganya familia za [mateka], anapodai kuwa chaguo la kijeshi lina uwezo wa kuwarejesha (mateka wote) wakiwa hai.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *