Hamas: Muqawama ni chaguo la kimkakati la ukombozi wa Palestina

Katika kumbukumbu ya mwaka wa 21 wa kuuawa shahidi Sheikh Ahmad Yassin, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hamas imesisitiza kwa kusema: “Tunashikamana na njia ya Sheikh Ahmad Yassin, tunalinda ardhi na matukufu yetu, na tuna Imani thabiti kwamba Muqawama ni chaguo la kistratijia la kujikomboa na kupata uhuru wetu.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *