Hamas: Madai ya adui kuhusu hospitali ya Al Mamadani ni uongo unaorudiwa

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa tamko kujibu madai ya uongo ya jeshi katili la adui Israel kuhusu kuripuliwa hospitali ya Baptist huko Gaza, na kuyataja madai hayo kuwa ni “uongo unaorudiwa” wa kujaribu kuhalalisha jinai za kivita za utawala ghasibu wa Kizayuni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *