Hamas: Kila anayeweza ashike silaha kukabiliana na njama ya Trump kuhusu Gaza

Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema akizungumzia mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuwaondoa Wapalestina Ukanda wa Gaza kwamba: “Mtu yeyote anayeweza kushika silaha anapaswa kuchukua hatua katika uwanja huu.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *