Abu Ubaydah, msemaji wa Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jana Alkhamisi lilishambuliwa kwa makusudi eneo ambalo mateka mmoja wa kike wa Israel alikuwa akishikiliwa kwenye Ukanda wa Ghaza.
Related Posts

Ukraine ‘itaangamizwa’ ikiwa ongezeko litaendelea – Lukashenko
Ukraine ‘itaangamizwa’ ikiwa ongezeko litaendelea – Lukashenko Rais wa Belarus amependekeza Moscow na Kiev zirudi kwenye mazungumzo kulingana na makubaliano…

Putin awaomba wabunge kuidhinisha ‘ushirikiano wa kimkakati’ na Korea Kaskazini
Putin awaomba wabunge kuidhinisha ‘ushirikiano wa kimkakati’ na Korea KaskaziniMkataba huo uliotiwa saini mwezi Juni unajumuisha mkataba wa ulinzi wa…

Wainjilisti wamshinikiza Trump kulipa wema, wamtaka aruhusu kunyakuliwa Ukingo wa Magharibi
Ripoti iliyochapishwa katika gazeti la Marekani, The New York Times, imefichua kwamba Wakristo wa Kiinjilisti, ambao walitoa huduma kubwa kwa…