Hamas inatarajiwa kuachilia mateka sita wa Israeli kwa mabadilishano ya wafungwa zaidi ya 600

Mateka zaidi wanakabidhiwa Shirika la Msalaba Mwekundu kama sehemu ya mabadilishano na wafungwa wa Palestina katika mpango wa kusitisha mapigano.