HAMAS: Hali za afya za wafungwa wa Kipalestina zinaakisi ‘unyama na ufashisti’ wa Israel

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, hali za kiafya za wafungwa wa Kipalestina walioachiliwa kutoka kwenye magereza ya Israel zinaakisi “ukatili na ufashisti” wa utawala huo wa Kizayuni.