Halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe imewataka wananchi walionufaika na mikopo isiyokuwa na riba ya asilimia 10 z…

Halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe imewataka wananchi walionufaika na mikopo isiyokuwa na riba ya asilimia 10 z…

Halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe imewataka wananchi walionufaika na mikopo isiyokuwa na riba ya asilimia 10 za halmashauri hiyo kuzingatia matumizi sahihi ya mikopo hiyo ikiwemo biashara walizozianisha na usimamizi wa matumizi kwa kufuata ‘mpango wa biashara’ uliotumika kuombea mikopo hiyo.

Emmanuel Kalemba ana taarifa zaidi

Mhariri @moseskwindi

#AzamTVUpdates #UTV108 #AdhuhuriLive

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *